Nimegundua kuna uzushi ambao umesambaa sana hasa huku Tanzania bara juu
ya wanawake wa Zanzibar, hivyo mimi nimeamua kuja kuweka ukweli wote
hapa.
Kuna mada ilipostiwa juzi hapa JF, kuhusu mikoa ya Tz na wanawake bikra
waliopo katika mikoa hiyo ambao wamefikisha umri wa miaka 25. katika ile
list wanawake wa Zanzibar waliongoza ( pemba 45%, na unguja 43%) huku
wa Dar es salaam wakishika mkia kwa 3%.
Sasa baada ya kupitia comments za watu, nikaona kuwa wengi wanasema kuwa
wanwake wa Zanzibar wapo bikra kwa sababu wanafanya mapenzi kinyume na
maumbile kabla ya ndoa.
Hii dhana siyo ya kweli kabisa, ni uzushi tu uliosambaa kwa kasi ya 4G.
halafu nimegundua kuwa wengi wanao sambaza uzushi huu hata zenji
hawajawahi kufika.
Nakubali kuwa jamii yoyote lazima watakuwepo "wahuni", hivyo sikatai
kuwa baadhi yao kuwa wanafanya hivyo vitendo. ila ni wachache sana (
less than 0.01% ) kitu ambacho si haki kuki generalize kwa population
nzima.
Hivyo basi msiwachafue wanawake wa Zanzibar kwa vitu ambavyo sio vya kweli.
Saturday, June 9, 2018
Uzushi Ambao Umesambaa Kuhusu Wanawake wa Zanzibar na Ubikira Wao
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment