Habari wapendwa, poleni na majukumu.
Naomba kuuliza ni kwanini baadhi ya watoto wa kiume wakishaondoka
nyumbani kwa kuwa na familia yake au kuishi peke yake, huwa inakuwa
vigumu kukumbuka nyumbani ukilinganisha na watoto wengi wa kike ambao
mara nyingi hukumbuka nyumbani?
Toa Maoni yako

No comments:
Post a Comment