Inasikitisha kwa kweli!
Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake
Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa
mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi huku tukifurahia maisha
hasa chachu ya penzi letu ikiwa ni kugegedana!
Ajabu huyu mwanamke nimekaa naye miezi mitatu yote hii wala hata
hanishirikishi mipango yake, mafikirio yake kwangu kumbe ilikuwa ni
kumuoa kabisa, lakini hii haikua shida
Shida imekuja baada ya yeye kujitegeshea mimba tena kimya kimya na hadi sasa inaumri wa mwezi ndio ananipa taarifa!
Enyi wanawake nipende kuwambieni tu kwamba, mimba sio kigezo cha kuolewa!
Mimba huhusisha mipango ya mume na mke, lini wazae na maisha ya mtoto yatakuaje
Sasa nyie mnakurupuka tu eti unatega mimba ahahahahah
Kwa mtindo huu single maza mtakuwa wengi sana huku mtaani na mtaishia
kutulaani tu na laana wala hazitatufikia kwa namna hii, tutawatelekeza
sana
Saturday, June 9, 2018
Kwa Staili Hii Mnayotumia Wanawake wa Mjini Single Mother Wataongezeka Maradufu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment