Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu
kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo
nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni
mara ya tatu huyu dada ananiomba nimpige picha tena akiwa amevaa kiajabu
ajabu, siku nyingine anadiriki hata kunigongea chumbani kwangu ili
nitoke tu nimpige picha halafu aendelee na shughuli zake...leo Kaniomba
nimpige akiwa na chupi tuu kitandani kwake sasa imekuwa kero Simuelewe
kabisaaaa Wadau..
Naomba Ushauri
Ray
Sunday, June 10, 2018
Jirani Yangu Ananiomba Nimpige Picha Akiwa Uchi Mara Kwa Mara...
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment