Mwenzenu karibia naumbuka yaani nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa
nachanganyikiwa kabisa nakupoteza network, yaani inafikia mahali hata
kama niko kwenye daladala naenda mahali akipanda mwanamke aliyejaliwa
maeneo ya nyumba basi nihakikisha nashuka kituo atakachoshuka hata kama
nikupitiliza napoenda naona sawa tu ili mradi nimpe maneno mawili matatu
huyo mwanamke .
Hii Tabia imenifanya nipoteza muda na mambo mengi ya msingi katika
maisha yangu , moja kubwa nakumbuka mwaka jana niliitwa kwenye interview
shiriki moja maeno ya Kijitonyama sayansi, nikiwa kwenye daladala
kutokea mwenge kwenda posta nilijikuta nimefika posta kwa kumfuata mdada
mmoja, baada ya hapo nikajikuta nimechelewa hiyo Interview na mbaya
zaidi huyo dada hakutaka hata kuongea na mimi baada ya kushuka kwenye
dalala.
Sunday, June 10, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Nitaachaje Kupenda Makalio ya Wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri
Nitaachaje Kupenda Makalio ya Wanawake? Napitiliza Hadi Kituo Kisa Nimeona Mwanamke Mwenye Kalio Kubwa Ndani ya Dalala..Ushauri
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment