Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua anaacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku, asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Hny nitunzie nimesahau hereni zangu
mezani'
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea
2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack, asubuhi anaondoka na flat
shoes kwenda chuo..
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishe alipoacha, kesi zinaanza...
Hao ndo Wanawake wa kileo, akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu..
Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa
hereni na 'Foundation'... My Brother,huna haja ya kuuliza, NDO KASHAHAMIA HUYO....Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days',
Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndo zina Missed Calls, Siku hizi
kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu jua imekula kwako,inawindwa ndoa
Monday, June 11, 2018
Mbinu Mpya za Wanawake wa Siku Hizi Wanao Saka Ndoa Kwa Nguvu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment