Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui
kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii kitu,na utashangaa no
one is paying attention,watu utakaowapata ni walewale kanyaboya
wenzako, na hawana futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata mwingine
kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa
uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na
matatizo hakuna mtu anataka,sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye
kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani
kwako,maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.
Watch out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we
kifaa usidhani wanaume hawaumii..tunaumiasema hatusemi tu,machozi yetu
kama ya samaki.
Monday, June 11, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Ukijaliwa Kuwa Msichana Mzuri na Mrembo Usidhani Kamwe Utatetemesha Kila Mwanaume
Ukijaliwa Kuwa Msichana Mzuri na Mrembo Usidhani Kamwe Utatetemesha Kila Mwanaume
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment