Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme
ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama 3 zilizopita
amekuwa akinilazimisha nile mzigo kila siku hapa nilipo kichwa kinaniuma
kutokana na mabao nitoayo kila siku na jana nimeona nivunje ukimya
baada ya kuniamsha usiku wa ma8 nile mzigo nikamueleza mke wangu utaniua
naomba tupumzike hata siku 3 mbele target yangu ni kuwa baada ya siku 3
anatarajia kuingia kwenye siku zake so ntapata mapumziko ya kutosha,cha
ajabu mke wangu kaanza kulia na kulalamika kuwa haamini kauli yangu ya
kukataa kula mzigo, ilinibidi nimmbeleze kisha nikampoza na kamoja hapa
nilipo nipo njian natoka job ameshanitumia sms ananiambia eti niwahi
Anahamu ya dudu langu nimekaa kimya sikumjibu kanipigia simu anasisitiza
alichokiandika kwenye sms yake tena kwa sauti ya majonzi.Nampenda mke
wangu ila ananichanganya kwa vile tabia hii hakuwa nayo mi ndio nilikuwa
initiator wa mchezo wetu.
Hebu wadau naombeni mnisaidie itakuwa kapatwa na nini hadi amekuwa hivi?
Tabia hii kaanza tangu niliporudi kutoka safarini ambapo nilikaa kule
kwa miezi 3 bila kushiriki nae..
No comments:
Post a Comment