Mimi na mume wangu tuna uhusiano murua kati yetu, hatuna tatizo
kitandani vilevile. Hata hivyo ana wazo hili la kiwazimu la kuwaingiza
wanawake wengine katika shughuli yetu ya kupigana miereka ili kuboresha
mambo.
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52 na ninahisi majaribio kama hayo
–ya wapenzi watatu au wane kusakata dimba kwa wakati mmoja – huenda
yakaharibu uhusiano wetu.
Hatahivyo, mpenzi wangu anasema anaweza kutenganisha mapenzi na kitendo
cha ngono. Lakini kwangu siwezi kustahimili kumwona na mwanamke mwingine
na Mume wangu wakisakata dimba.
Sitaki kuzuia shauku za mume wangu na nimejaribu kujihakikishia kwamba
naweza kustahimili hili. Lakini sehemu ya moyo yangu inahisi kwamba hii
ni kunivunjia heshima.
Isitoshe, anasema iwapo siko tayari, angependa kufanya hivyo pekee yake.
Nahisi kukwazwa moyoni, sijui nifanye nini....Naombeni Ushauri
Tuesday, June 12, 2018
Mume Wangu Anataka Tufanye Mapenzi na Wapenzi Wengine Kwa Pamoja
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment