kuvunjika moyo ni moja ya jambo zito na ambalo mtu hupitia na inahitaji
sana moyo kwasababu ya kupitia wakati mgumu,fikra,mawazo,maumivu,kujiona
huna thamani,jamani mtu kaamua kukuacha wa nini kumganda,let him or her
go kama alivotaka,duniani hayuko pekeyake, mbona wamejaa kama yy ,na
unaweza kupata mzuri zaid yake ,na ufurahie sana na kumshukur mungu mana
mpaka anakuacha manake kajionesha ngozi yake asili kua not your type
and he/she does not deserve to be wid u.kwaiyo never give up maisha
yenyew mafupi,wacha aende utapata bora kuliko yeye.
jaribu kukaa na familia,marafiki na watu wako wa karibu ,cheka, furahia
existence yako,io ni moja ya kuanza kumsahau na kutoa mawazo taratibu.
kua makini kwa kutokua muwazi,namaanisha kua sio kisa umeumizwa uko
nyuma ,ndo usiwaamini ke/me wote ,binadamu hatufanani,unahis umependa
for the second time achilia toa la moyoni kuliko kukaa nalo,kua free
kufanya lolote unaloona its good for you.
baada ya kuumizwa sio unaenda na ww kufanya vitu vya kipuuzi.fanya vitu
ambavo vitakavokufanya utoe mawazo na kukupungizia stress ,unafanya ili
uwe na furaha na sio depression ukaja kufa bure siku sio zako ndugu.
jikite katika mazoez mfano kukimbia au jiweke busy na kazi yoyote ili
kukuweka busy na kupoteza attention ktk kichwa ya yule
aliekuumiza,usijiumize kabisa,unajiona maumiv yanazid ,zidisha kujiweka
busy na jiweke kama hujawah kuumizwa na jipe moyo be u as u, kua duniani
hayuko pekeake.
ukijiweka karibu sana na watu,kua na furaha cheka nao,nao watafurahia
uwepo wako,nakuhakikishia unaweza kujipatia apoapo mwngn hahaha,just be
u.
badala ya kuangalia mabaya ya kuvunjika uhusiano ,wewe tizama yale
mazuri tu uloyafanya,usiseme labda nlifanya baya flani ndo mana
nkatendwa,mana skuizi unaweza kutendwa kweupee na huna kosa
ulilolifanya,unajishangaa unakaushiwa tu,usijitie mnyororo wa roho buree
ukasema hata nkitongoza naweza nsikae nae sana kama wa mwanzo ,no no
no,hamna kitu kama iko,ndo mana tukaambiwa binadamu tunatofautiana,just
move one,kua huru na nafsi yako,fanya roho yako kitu kinachojiskia ipate
faraja for the second time.
toka mitoko ya hapa na pale,tafuta marafiki zako wa karibu,kua na ile
tabia ya kutoka out kuspend kuenjoy ,pia itakusaidia kutoa mawazo.
unajua ni bora kua single kuliko kua katika uhusiano m,baya.unaweza pia
kupost story yako ktk jukwaa husika ili kupata msaada zaid wa kimawazo
,it ll help too.
Wanaume wameumbiwa wanawake,na wanawake wameumbiwa wanaume,so hata
ukiumizwa haifai kusema sitopenda tena,ohh sjui stokuja kutafuta mwenza
tena,inamaana utaweza kukaa ivo pekeako mpk uzeeni mpk kufa,mara ohh
stopenda tena bali ntawachezea tu na kuwaacha kama nlivoachwa mm,jamani
jamani jamani,we chezeaaa mwisho wake uchezewe,chezea wee mwisho wake
unajikuta umekondeana kwenda kupima ngoma unayo,utamlaumu aliekuacha au
utajilaumu na nafsi yako.
Nmemaliza.love u ol.
No comments:
Post a Comment