Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo
halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga
mikelele.
Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume
isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh
marshallah.
Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha
kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga
miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.
Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.
By Nitonye
Sunday, June 10, 2018
Ni Nani Aliyekutuma Kuoa Mwanamke Flat Screen?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment