Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa
miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu
wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana
na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.
Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi
kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu
nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi
mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao
kabisa yani.
Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda
mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani
au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa
wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye
nini.
Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je
kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki
hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote
daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na
waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.
Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni
shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi
mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO saana nilipo upima kwa
rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli
daaah..
Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama
akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi
napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.
Naombeni msaada naombeni
Sunday, June 10, 2018
Ushauri: Nina Naumbile Madogo ya Uume (Kibamia), Naogopa Kutembea na Wasichana
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Newer Article
Nimetembea Kimapenzi na Binti Zangu Wawili kwa Mpigo Usiku Mmoja Kwenye Kitanda Kimoja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment