Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na misukosuko ya maisha, ukosefu
wa chakula, magonjwa na kipato inaelezwa kuwa ndiyo sababu ya bara la
Afrika kuwa la mwisho kwenye orodha ya nchi zenye wanaume ambao
wanawaridhisha wake zao kwenye ndoa wakiwa faragha.
Kwa utafiti uliofanywa na mtaalamu wa masuala ya ya mahusiano an
aliyebobea kwenye masuala ya ndoa, Bi Victoria Milan kupitia mtandao
wake wa victoriamilan.com unaojihusisha na masuluhisho, ushauri na
takwimu mbalimbali za mahusiano mtafiti huyo amesema nchi za Ulaya,
ndiyo zinaongoza kwa wanaume kuwaridhisha wake zao kwenye ndoa
ukilinganisha na mabara mengine kama Amerika, Asia na Afrika.
Bi Milan amesema kwenye utafiti huo alitumika idadi ya watu 9,165 walio
kwenye ndoa kutoka nchi 80 za mabara ya Afrika, Ulaya, Asia na Amerika
ya Kusini/Kaskazini ambapo kila nchi alihoji ndoa 80 hadi 82 kutokana na
idadi ya watu wa nchi husika.
Kwenye takwimu hizo alipata wastani wa muda wa wapenzi wanaotumia wakiwa
faragha kwa kila mzunguuko mmoja ambapo wastani wa nchi za Ulaya
ulikuwa ni dakika 32.1 kwa kila mzunguumko mmoja wa tendo la ndoa ambapo
nchi zilizoongoza ni Denmark, Finland na Sweden.
Bara lingine ambalo limefuatia ni Amerika ya Kaskazini/Kusini ambapo
wastani wao ni dakika 23.4 wakiongozwa na nchi za Marekani na Canada.
Bara la tatu ni Asia na la mwisho kwenye utafiti huo ni Afrika ambapo
wapenzi walio kwenye ndoa hutumia wastani wa dakika 5 kwa mzunguuko
mmoja na nchi zinazoongoza kwa kukaa muda mrefu kwa mzunguuko mmoja ni
Nigeria na Afrika Kusini.
Orodha ya nchi hizo ni kama ifuatavyo NB: Huu ni muda ambao wanaume hutumia kwa kila mzunguuko mmoja bila ya maandalizi.
1- Denmark Dk 43
2-Marekani Dk 41
3- Finland Dk 39
4- Canada Dk 36
5- Norway Dk 34
6- Uingereza Dk 33
7- Ujerumani dk 31
8- Czech Republi Dk 29
9- Ireland Dk 27
10- Austria Dk 27
Kwenye orodha hiyo ya 10 bora duniani hakuna hata nchi moja kutoka
Afrika ingawaje nchi ya Nigeria imeingia kwenye 20 bora kwa kushika
nafasi ya 19 ikiwa nawastani wa dakika 20 ikifuatiwa na Afrika Kusini
nafasi ya 20 ikiwa na Wastani wa dakika 18 pekee.
Sababu kubwa zilizotajwa kwa wanaume wengi kwenye ndoa kutumia muda
mfupi kwenye tendo hilo ni uvivu, Mazoea, majukumu ya kila siku, msongo
wa mawazo na aina ya vyakula .
“Wakati nafaya utafiti wanandoa wengi hususani wanawake walisema kabla
ya ndoa wenza wao walikuwa wakitumia muda mwingi kuwaandaa na hata
kwenye tendo lenyewe lakini baada ya kuishi nao walianza kupoteza uwezo
wao kitandao”,amesema Bi Milan kwenye mdahalo wa kipindi cha Loose Women
kinachorushwa na kituo cha itv cha Uingereza .
Hata hivyo kwenye utafiti huo amebaini kuwa Wanawake ambao wanaridhishwa
na wenza wao bado wanaonekana ni vijana wenye afya na nyuso zenye
furaha ukilinganisha na wale ambao hawaridhishwi kwenye tendo la ndoa.
Sunday, June 17, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Nigeria Yaongoza Afrika Orodha ya nchi 10 duniani Ambazo Wanaume Huridhisha wake zao kitandani
Nigeria Yaongoza Afrika Orodha ya nchi 10 duniani Ambazo Wanaume Huridhisha wake zao kitandani
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment