Msanii wa muziki Bongo, Rachel amesema hajawahi kutoka kimapenzi na TID kama inavyokuwa ikiripotiwa.
Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Same Boy’ ameiambia The Playlist ya
Times Fm kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote na wala hajawahi kubeba
ujauzito wa TID.
“Niseme tu TID sio bwana yangu, sio mtu wangu, TID hawezi kuwa mtu
wangu, TID mkubwa ujue, ana type zake, mimi nina type zangu za wanaume
ambao natakiwa ni date nao, TID siyo type ya wanaume ambao naweza
ku-date nao, kirafiki kuongea sawa,” amesema.
“Naomba nieleweke, sijawahi kutoka kimapenzi na TID, sijawahi kubeba mimba ya TID hata mara moja,” amesisitiza Rachel.
Saturday, June 9, 2018
Recho Kizunguzungu Akana Kutoka Kimapenzi na TID "TID Hawezi Kuwa Mtu Wangu"
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment