Natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea
mwanaume kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana hasa
kwa wale wenye makalio makubwa...??
je ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na kuendelea kwa hali hiyo?
No comments:
Post a Comment