Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Saturday, June 30, 2018

Uchawi Katika Mapenzi Ndio Huu...!!!

Mapenzi  ni  miongoni  mwa  mambo  makuu  yanayo msumbua  mwanadamu. Tangu kuumbwa  kwa  ulimwengu  kuna  mamilioni  ya  watu   ambao  wameuwawa  kwa  sababu  ya  mapenzi, wameua  kwa  sababu  ya  mapenzi ama  wamejiua  kwa  sababu  ya  mapenzi. Wapo  walio  poteza  nafasi  zao  za  kazi  kwa  sababu  ya  mapenzi,  wapo  walio  feli  masomo  yao shuleni  kwa  sababu  ya  mapenzi, wapo  walio  filisika  kibiashara  kwa  sababu  ya  mapenzi, wapo  waliopatwa  na  ulemavu  wa  kudumu  kwa  sababu  ya  mapenzi, wapo  walio  patwa  na  uchaa  kwa  sababu  ya  mapenzi, wapo  walio  tupiwa  magonjwa  mbalimbali  ya  kichawi  kwa  sababu  ya  mapenzi, wapo  waliokosana  na   ndugu , jamaa  na  rafiki  zao  kwa  sababu  ya  mapenzi.
Ongezeko  la  watoto  wa  mitaani, watoto  yatima  katika  nchi  za  dunia  ya  tatu , Tanzania  ikiwemo, ni  miongoni  mwa   viashiria  ya   athari  ziletwazo  na   matatizo  katika  mahusiano.
Ongezeko  la  wanawake  kwa  wanaume  wanao  jihusisha  na  tabia  hatarishi za  kingono, kwa  kiasi  kikubwa  sana, linasababishwa  na  na  kuwepo  kwa  matatizo  katika  mahusiano. 
Hii  inaonyesha  ni  namna  gani  ambavyo  suala  la  mapenzi  lina msumbua  mwanadamu., 
 Kinyume chake  wapo  watu  walio  pata  mafanikio  makubwa  sana  katika  maisha  yao  kwa  sababu  ya  kunyookewa  katika  masuala  yao  ya  mahusiano.
Je  , ni  kwa  nini  basi  mapenzi  yanamuhanganisha  na   kumtesa  mwanadamu kwa  kiasi  hiki?
 Jibu  la  swali  hili  ni  rahisi  sana, hii  ni  kwa  sababu  ya  kukosa  elimu  ya  uhakika  ya  uchawi  kuhusu  mapenzi. Watu wanao fahamu   elimu  ya  uchawi  kuhusu  mapenzi, hawasumbuliwi  kabisa  na  kitu  kinacho  itwa  mapenzi.
Ukitimiza  masuala  maalumu  ya  kiroho  kuhusu  mapenzi , utafurahia  maisha  yako  ya  kimapenzi, utampata mwanamke  yoyote  yule  unaye  muhitaji, utampata  mwanaume  yoyote  yule  unaye  muhitaji  na  utaishi  naye  katika  namna    yoyote  ile  ambayo  wewe  unataka iwe. Atakupa  chochote  anachokitaka, kwa  kiasi, hali, jinsi  na  namna  yoyote  ile unayo  itaka  wewe.  Hata  hivyo, ili, ufanikiwe katika  hili    pamoja  na  mambo  mengine  yote  yale, unatakiwa  kuhakikisha  unafanya  yafuatayo:
1.  Unajiunga  na  madhabahu  maalumu  ya  watu  maalumu , yanayo  ongozwa  na  malaika  maalumu  wanao  toa  ulinzi  maalumu  katika  masuala   ya  kimapenzi kwa  watu  wanao  shiriki  katika  madhabau  hiyo.
2. Kushiriki  ibada  maalumu   katika  madhabahu  husika.
3. Toa  sadaka   maalumu  kwa  madhabau  husika.
4. Hakikisha  unafuata  na  kutimiza  maelekezo  yote  unayo pewa  na  kiongozi  wa  madhabahu  husika.
Hakika  utafurahia  maisha  yako  ya  kimapenzi  katika  siku  zote  za  maisha  yako.. Tafiti  mbalimbali  duniani  zinaonyesha  kuwa  miongoni  mwa  mambo  yanayo  weza  kumfanya  mwanadamau  aweze  kufanikiwa  vizuri   katika  maisha  yake  ni  kuwa  na  tulizo  la  moyo  wake( Yaani  kuwa  na  mwanamke  ama  mwanaume  anaye  mpenda  a  kupendwa  naye  )..

No comments:

Post a Comment