Sifa ya mwanaume kujituma, kutafuta pesa na kujipanga. Hivi unakuta
kijana umri unaenda bado anategemea kwa wazazi msosi ni hotpot family
huyu ni hasara.
Kuna mwanaume mpaka anaoa bado yupo kwa wazazi na mke anampeleka hapo
hapo kwenye nyumba ya familia, ndiyo hapo ndoa inakua ngumu kwa mawifi
na mashemeji na wazazi zinaanza chokochoko kibao. Wanaume wa hivi ni
walaini sana, hadi kitandani ni walaini.
Wapo sana wanaume wa hivi ila kiukweli mwanamke anavutiwa na mwanaume
mgumu yaani anayejua kuhangaika na kujitegemea. Hawa wanategemea hadi
siku ya ndoa wapewe zawadi ya kiwanja, au nyumba na wazazi. Wanataka
sofa, kitanda, vyombo vya ndani siku ya harusi.
Shosti ukiona mwanaume wa hivi shituka mapema ni mwanaume Hotpot Family....
Monday, June 11, 2018
Ukiona Mwanaume Ana Miaka 27 Bado Hajajitegemea Huyu ni Hasara
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment