Ndoa nyingi zina changamoto lakini
nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara
nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.
*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.
Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.
Monday, June 11, 2018
Faida Ama Uzuri wa Kuoa Single Mothers na Wadada Over 35 years
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment