Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya
mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe
wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule
Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:
Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi,
viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji
ovyo, epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima,
nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu!
Unabisha?
Monday, June 11, 2018
Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment