Mimi nimeoa na ninaishi na mke wangu lakini hatujabarikiwa kupata mtoto 
na wote tunafanya kazi mke wangu serikalin na mimi kwenye kampuni moja 
hapa mjini Dar kutokana na ubize wa kazi tuliamua kutafuta mfanyakazi na
 hivyo kuletewa huyu mdada wa kazi kutoka kijijini kwao na mke wangu, na
 mimi na mke wangu hua tunatoka asubui na kurudi jioni hua nampitia 
kazini tunarudi nyumbani baada ya kazi.
Huyu mdada wa kazi mke wangu alishanieleza kua anatoka kwenye mazingira 
magumu sana hivyo pamoja na kutufanyia kazi tuwe tunawakumbuka wazazi 
wake kwa chochote pale tunapojaliwa uwezo na mm nimekua nikifanya hivyo 
kama msaada kwa wazazi wa huyu binti.
Kilichofanya niombe ushauri kwenu ni kwamba, miezi miwili iliyopita 
nilisahau document za kazini nyumbani hivyo nilirudi kuzichukua kitu 
ambacho si kawaida mimi kurudi nyumbani mchana, kitu cha kushangaza 
nilimkuta huyu binti wa kazi ameweka mkanda wa porn(X) anaangalia na 
yupo exited aliponiona akashtuka sana na kuniomba msamaha basi mimi 
nikachukua nilichokua nimesahau na kurudi kazini kwangu huku nikiacha 
nimemkanya na kuchukua ile CD na kuiharibu.
Sikumwambia mke wangu kwani yeye hua na hasira sana na kwa hali ile 
angemrudisha huyu mtumishi wetu wa ndani kwao, sikumwambia kwa sababu 
huyu binti hana msaada wowote na wazazi wake wana hali mbaya huko 
kijijini nilijua mke wangu akimfukuza ataenda kuteseka sana kwahiyo 
nikawa na siri moyoni as a man.
Cha kushangaza ni kwamba leo pia nimerudi nyumbani gafla nimemkuta 
anafanya mchezo ule ule kaweka CD ya X amejiachia kwa sofa amerelax 
anaangalia hana wasiwasi huyu binti wa miaka 16 aliponiona akapanic na 
kulia nimsamehe tena nikampa vibao viwili nikachukua kilichonipeleka 
then nikarudi kazini.
Hapa najiuliza ndugu zangu nimwambie mke wangu kwa maana atamtimua tu, 
au nimuonee huruma niendelee kumfichia siri kwa mke wangu kwani 
nikikumbuka wazazi wake na huyu binti wanavyonililia na kuniona tegemeo 
lao moyo unarudi nyuma.
Sasa hivi niko na mke wangu tunarudi nyumbani huku kichwani najiuliza kama nimwambie kinachoendelea au laa.
Msaada wa ushauri bila matusi nitauzingatia zaidi.
NASHUKURU
Saturday, June 9, 2018
Ushauri: Kila Nikirudi Nyumbani Nakuta Msichana wa Kazi Anaangalia 'Porn'
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment