UTAFITI ULIOFANYWA MWAKA 1960 NA DAKTARI WA CHUO KIKUU CHA YALE DR JAMES
HAMILITON INAONYESHA KWAMBA KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA USAWA WA
HOMONI YA TESTOSTERONE KWA MWANAUME NA UPARA!
WANAUME WENYE KIPARA WANA IDADI YA JUU YA HOMONI YA TESTOSTERONE HIVYO
WANAKUWA NA MISULI ZAIDI NA HIVYO KUFANYA WAWE NA HAMU NA NGUVU ZAIDI ZA
KUSHIRIKI TENDO LA NDOA.
KUWA AU KUTOKUWA NA UPARA HUTEGEMEA IDADI YA TESTOSTERONE ILIYO MWILINI AMBAPO NDIYO HUCHANGIA UWEZO WA MWANAUME KITANDANI.
UKWELI NI KUWA NI IDADI NYINGI YA HOMONI ZA TESTOSTERONE NDIYO INACHANGIA KUWA NA UPARA!
MHIMU: HOMONI YA ‘TESTOSTERONE’ NI HOMONI INAZOFANYA MWANAUME KUWA NA HAMU NA UWEZO WA KUFANYA MAPENZI.
Monday, June 11, 2018
UTAFITI: WANAUME Wenye Upara ni Hatari Kitandani
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Newer Article
Jinsi ya Kuondoa au Kupunguza Mafuta Tumboni Kwa Wanawake
Older Article
Unajua Kwanini Wanawake Warembo Hawaolewi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment