Aisee huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa bp na pia namuamini
maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea
mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu sasa leo week end nipo
kitandani nimeshika simu yake aisee kucheki video za whatsapp nikajikuta
nimeingia inbox yake Kuna li mtu anachat nalo linaonesha linamcare huku
linamuita "My" na yeye anajibu na neno "My".HAPA NILIPO NIMESHAPANIC
JAPOKUWA WANASALIMIANA TU NA KUTAKIANA CHAKULA CHEMA ILA KIMENISHANGAZA
HICHO KIBWAGIZO CHAO CHA KUITANA "MY" Nataka niuwashe moto maana
sijaelewa kabisa hiyo term "My".
Naogopa kuianzisha hii vita kabla sijajua wenzangu hii issue
mnaichukuliaje maana nisije itwa Complicator wa term kumbe ni term ya
kawaida tu.
NATAKA USHAURI SIO MATUSI.
By Billie
Sunday, July 1, 2018
Mke Wangu Anachat na li Mtu Wanaitana "MY"
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment