Kuna utafiti nilikuwa nafanya baada ya kufwatilia baada ya kuona topic
nyingi zinazowasema single mother's na wanawake waliofika miaka 30s bila
kuolewa.
Nilichokigundua;
1. Wanawake waliochelewa kuolewa na na single mother wengi wana amani ya
moyo kuliko wanaume waliochelewa kuowa na single dads ndomana awaishi
kujaza JF topic za kuwazungumzia wanawake hiyo yote nikujipa moyo ili
kupunguza maumivu.
2. Wanaume wengi waliochelewa kuoa mpaka kufika miaka 35 na kuendelea
wengi walitegemea kuchelewa kuoa kutawafanya wawe na pesa na maisha
mazuri lakini imekuwa tofauti wengi wamefika umri huo wakiwa hawana kitu
tofauti na wenzao waliooa mapema wana faraja ambayo ni watoto na
wengine wamepata baraka maisha yamewanyookea,asila za kukosa vyote
vinawatesa wanajikuta na asila muda wrote poleni kwa hilo.
3. Wanaume wengi waliochelewa kuoa wanatabia zisizovumilika bila kusahau
maneno mengi bila vitendo ujuaji mwingi na dharau kwa wanawake
wanasahau walizaliwa na mwanamke poleni, mwanamke yoyote anatakiwa
kuheshimiwa.
NB; Jirekebisheni tabia njema si kwa mwanamke mtu hata mwanaume
unatakiwa ujitambue labda ujitahidi uwe na mapesa kama Mengi ndo utapata
mtoto mzuri wakutuliza moyo wako ukifika 40s maana huwa mnajipa moyo
wanaume amzeeki.
Sunday, July 1, 2018
Wanaume Waliochelewa Kuoa Wana Msongo wa Mawazo Kuliko Wanawake
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment