Mkazi wa Kimara Stop Over, Riziki Joseph (37), amepandishwa kizimbani
katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni, Dar es Salaam kwa shitaka la
udhalilishaji wa kingono.
Akimsomea shitaka mbele ya Hakimu Anipha Mwingira, Mwendesha Mashtaka,
Credo Rugaju, alidai Julai 24 mwaka huu maeneo ya Kimara Stop Over,
Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, mshtakiwa alimdhalilisha mtoto wa kiume
mwenye umri wa miaka saba (jina limehifadhiwa) kwa kumwingizia uume
mdomoni na kisha kumlawiti.
Mshtakiwa alikana kutenda kosa hilo, na kuomba kupewa dhamana kutokana na hali yake ya kiafya aliyonayo.
Hata hivyo, Hakimu Mwingira alisema dhamana iko wazi kwa masharti ya
kuwa na wadhamini wawili waaminifu mmojawapo awe mfanyakazi kutoka
taasisi inayotambulika na Serikali pamoja na bondi ya Sh 500,000.
Mshtakiwa yuko nje kwa dhamana na kesi yake itatajwa tena Septemba 3, mwaka huu.
Sunday, August 19, 2018
Kortini Kwa Kumwingiza Mtoto Uume Mdomoni na Kumlawiti
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment