Kujua kutumia kuleta tenshen ya mapenzi ni jambo kubwa sana mfano wa
kuvuna nishati ambayo inaweza kuwapagawisha wanawake kutaka kukutamani
pindi unapoongea na wao. Hii ndio maana matumizi ya tenshen ya kimapenzi
inafaa itumiwe kwa manufaa mazuri pekee.
Kuna njia tatu kuu ambazo zinafaa kutumiwa kuleta tenshen ya mapenzi:
1. Vile utakavyomuangalia
Jinsi utakavyomuangalia mwanamke kutampa mtazamo wa vile
utakavyomfanyia. Ukimuangalia na mtindo fulani wa kimapenzi
kutampagawisha papo hapo. Miondoko yako ya macho na mtindo wako wa
kuzungumza kutamfanya mwanamke akukubali papo hapo.
2. Toni
Hivi ni vile ambavyo sauti yako inavyopanda na kushuka wakati
unapoongea. Hakikisha unatumia sauti ya chini na ya kimvuto, yaani
unachukua muda wako kuongea sentensi moja. Amini usiamini ukitumia
mtindo wa kusita sita wakati wa kuongea kutamfanya mwanamke kujenga
tenshen ya kimapenzi kwako na yeye.
3. Onyesha matamanio yako
Wanaume wengi 'watulivu' wanaogopa kuonyesha matamanio yao kwa mwanamke.
Lakini ukweli ni kuwa wanawake hupenda sana kuona mwanamume akionyesha
nguvu zake za matamanio lakini hawapendi kuonyesha kama wanapenda jambo
hilo. Kuonyesha matamanio yako kwa mwanamke bila kuonyesha azma ya
kutaka kitu kutoka kwake ni njia moja wapo ya nguvu yakuleta tenshen ya
kimapenzi kutoka kwa mwanamke.
Hebu angalia video fupi ya movie The Aviator Leonardo DiCaprio akitumia
mbinu hizi tatu kumtongoza na kumshawishi mwanamke chini ya dakika mbili
Monday, August 20, 2018
Home
/
Unlabelled
/
Leonardo DiCaprio Akuonyesha Jinsi Ya Kutongoza Mwanamke (Kumshawishi) Chini Ya Dakika 2
Leonardo DiCaprio Akuonyesha Jinsi Ya Kutongoza Mwanamke (Kumshawishi) Chini Ya Dakika 2
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment