Kuna msichana niliwahi kuonana nae mara moja ni rafiki wa dadaangu,
tulionana nilipoenda kumtembelea sista nikahisi kumpenda na kufikiria
kumuoa, Jumapili kulikuwa na event ya kifamilia nikaonana naye, safari
hii nikawa siriaz kumbana nimsomeshe hadi kieleweke.
Bahati nzuri tulipotoka kwenye event tulisafiri pamoja nikakaa naye
kwenye siti zinazofatana, nilimtongoza though hakunipa jibu la moja kwa
moja kunikubalia but alikuwa anaonyesha kuelekea kukubali, nilimwomba
namba yake akanipa. Kesho yake ambayo ni jana akanichokoza kupitia msg,
akanisalimia nami nikarespond.
Si nikahisi mtoto kashakolea, ile nataka nianze kumchokoza anipe jibu langu mara akatuma meseji 'Nasikia njaa', duh ile kuendelea kuchat nikagundua anamaanisha nimtumie hela.
Eti ndugu wananchi, huyu ni wife material kweli au najiingiza kwenye majanga? Maana mtu mwenyewe hela za kuokoteza.
Saturday, August 18, 2018
Nimemtongoza Jana, Leo Anataka Nimtumie Hela
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment