Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida...
Wanaume walio na tatizo hili wengi wao huwa hawana confidence ya kuingia
katika mahusiano na wasichana ama wanawake wanao fahamiana nao kutokana
na kuogopa " siri" zao kujulikana hususani pale uhusiano wao unapofika
mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa katika uhusiano na mwanamke "mcharuko" (
asiye mstaarabu ) mwanamke huyo anaweza kuanza kumvua nguo hadharani
kwa kumtangazia kwa watu kuwa na uume mdogo . " Mwanaume utakuwa wewe!"
na lugha za namna hiyo hutawala midomoni mwa wanawake hawo....
Matokeo yake sasa wanaume walio na tatizo hili huamua kutokuwa na
uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao fahamiana nao, na badala yake
huamua kuanzisha tabia ya kuwa wanajamiiana na wanawake wanaouza miili
yao amakujihusisha na upigaji punyeto n.k.
NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.
1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :
Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.
Saturday, August 18, 2018
Sababu 5 Zinazosababisha Uume Kuwa Mdogo (Kibamia)...Soma Hapa Kidume Ufahamu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment