Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa asubuhi naingia bafuni kuoga kumbe
kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu
nami sikujua kama yumo.
Ile anataka kutoka tu pale mlangoni,kanga yake ikaanguka na akabaki
mtupu Macho hayana pazia niliona utupu wake nae aliona kuwa nimeona.Ile
tu anajizoazoa kujisitiri akateleza akaanguka ikabidi nimsaidie kumuinua
, nikamwinua huku akiwa uchi wa myama na kuhakikisha hajaumia popote
...then nikamfunika na kumwambia pole nikaondoka kiistaarabu.
Ila sasa naona ustaarabu wangu uliniponza sasa naona ananifanyia vituko
Mwanzo nilifikiri yameisha,alianza kwa kukwepesha macho na mimi,,mara
akajenga mazoea na mimi.Na sasa vituko vimezidi,mara sms za ajab,wakati
wote anataka kujua niko wapi na nafanya nini, siku ingine ananiletea
chakula alichopika nile..
Kwa tabia na msimamo wangu naheshimu sana ndoa za watu.
Nishaurini nifanye nini kumuepuka ? Nimepanga chumba hapa na nimelipa
kodi ya mwaka mzima,ni jirani tu chumba cha nne toka kwangu
Friday, August 24, 2018
Nimeona Utupu wa Mke wa Mtu..Sasa Imekuwa tabu!! Ushauri
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment