Habari zenu jamani, nimeumizwa sana na hii biashara ya se.x toys yaani
midoli ya kufanyia mapenzi inavyotangazwa Mitandaoni hapa Tanzania, hivi
vitu tulizoea kuviona kwenye movies huko kwa wenzetu ila sasa kuna watu
wanaagiza na kuja kuiuza Tanzania Kupitia Instagram, hizi vitu ni
hatari kwa sababu itatengeneza kizazi cha watu wasiotoshelezwa na waume
zao
Nimewaza kama mtoto wa shule wa kike akianza kutumia s.ex toys mpaka
atakapokuwa mkubwa na kuolewa atakuwa amekubuhu hivyo hawezi
kutoshelezwa na mumewe ni lazima apate lile toy, na pia sehemu zake za
uk...... Zitakuwa ni kubwa sana kulingana na toy analotumia.
Jambo hili limeanzia America na sasa limeingi Tanzania kwa kasi, naomba
wanawake tuamke sio salama haya matoy, na hata wenye watoto wakike
muwaelimishe kabla mambo hayaja haribika.
Jamani mi nimemaliza.BY tall Yanga
Monday, August 20, 2018
S3x Toys ni Hatari kwa Kizazi Chetu Tanzania.
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment