Hapo vip!!
Kiukweli kwa nyakati hizi wanaume ambao tunania Ya kuoa tunawakati mgumu na changamoto kubwa sana.
Naamini kwa mwanaume mwenye maadali na mwenye hofu Ya Mungu, akimuoa
mwanamke mwenye tabia ya kutoa kinyumeitakuwa ni fedheha kubwa na laana
hata katika watoto mtakao wazaa
Kwa siku hizi, hii tabia inaonekana ni kwenda na wakati au ujanja fulani Kwa msichana au mwanaume kufanya hivyo..
Hii tabia haitaacha, hii new generation salama,kwasababu inaenea kwa kasi kama Moto wa petroli.
Inasikitisha sana, tena sana... Imaging umemuoa mtu mwenye tabia kama
hizi..nawanasema kama alishazoeshwa lazima atamtafuta mwanaume mwenye
kutumia kule ili awezekuridhika,sasa hii ndoa itakuwa salama kweli
,anyway kwa baadhi Ya wanaume mnaependa kutumia kule kwenu sawa tu..
Sasa ilikuepuka kuingia kwenye ndoa na mwanamke mwenye tabia kama hizi utafanyaje uweze kugundua mapema..?
By Tajiri Tanzanite
Thursday, August 23, 2018
Utamgunduaje Msichana Mwenye Tabia ya Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment