Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika
chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri.
Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya 60 kurudi
nyuma) wengi wao walikuwa wapishi wazuri kwenye familia zao kiasi kwamba
wakipika chakula mfano pilau, wali, samaki,chapati,maandazi,n.k,
wanafamilia chakula mnakifurahia tofauti na siku hizi.
Hivi sasa unaweza kuta mwanamke mrembo ila akipika chakula,unaweza kula
tu kwa kumuonea aibu na hali hii ni hata kwa ma-house girl wa siku hizi
ambae ukimleta kwako inabidi umpe darasa la kupika chakula chenye ladha.
Kwenye migahawa na wa mama ntilie na kwenye nako hali ni hio hio.Mtu
unaagiza chakula kula unashindwa na bado ukibadili mgahawa hakuna
guarantee kwamba unakohamia kuna unafuu (afadhali).
Inawezeka mfumo wa maisha ya kisasa ndio unachangia hali hii kwa kiasi
kikubwa na hasa kwa waloizaliwa kuanzia ya miaka ya 80 mwishoni na
kuendelea.
Wanachojua wanawake wa siku hizi ni kupaka make up na wapi yanauzwa mawigi
Thursday, August 23, 2018
Wanawake Wengi wa Siku Hizi Hawajui Kupika..Urembo Umechukua Nafasi
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment