Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Saturday, September 1, 2018

Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu Kunani?


Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu? Na Wengine wakiolewa huku wakiachwa wanaona Aibu kurudi Bongo na kuishia kufanya umalaya huku Ulaya.

Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu?
Najiuliza sana ni kwanini.

No comments:

Post a Comment