Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Wednesday, October 24, 2018

LOVE ; KULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA INAMAANISHA NINI ?



Habari wadau wa Bongoswaggz.Com Mimi ni Kijana wa miaka 22 , tatizo ni kuwa kila tufanyapo tendo la ndoa, mwenzangu hutoa kilio pasipo machozi, huku ameikunja sura yake na wakatihuo hutamka neno naumia.

Hii kitu imekua inanipa wakati mgumu na kunifanya nimuonee huruma mpenziwangu na kumuuliza, nitoke? chakushangaza yeye hukataa na kuonyesha kufurahia tendo.
Maswali:-
Je, hulia kwa kupata maumivu?
Je, hulia kwa kuhisi raha?
Je, nawengine wanaliaga kama wangu?
Je, hutoa kilio kwa mbwembwe tu?
Naombeni ushauri wenu wadau.

No comments:

Post a Comment