Admin hide my name , mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na mtoto
mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu
ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasa cha ajabu ambacho
sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie
kinyume na maumbile..yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu kwa
siku kama mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko...sasa
nimejua nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka
sasa...nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa
imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya
huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ...swali linakuja hapa
sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia
...sasa sijui nifanyaje ..naomba ushauri wa kina hapa
Wednesday, October 24, 2018
Home
/
Unlabelled
/
USHAURI; MKE WANGU ANAOMBA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..SIELEWI JE ANACHEZEWA NA WENGINE ?
USHAURI; MKE WANGU ANAOMBA PENZI KINYUME NA MAUMBILE..SIELEWI JE ANACHEZEWA NA WENGINE ?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment