Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Wednesday, October 17, 2018

Manesi Walalamika Kuchunguliwa Nguo zao za Ndani na Wagonjwa Wakiume Hospitalini

Wauguzi wa kike katika hospitali ya Kenyatta nchini Kenya wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali hapo, wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia huwataka kulala nao kufanya nao ngono.

Toa maoni yako

No comments:

Post a Comment