Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi
hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita
badala ya starehe inayoweza kumhamisha mtu kifikra mpaka katika
ulimwengu wa kusadikika.
Vijana wengi wamekua busy kutafuta dawa za kuwafanya wawe na nguvu
kupitiliza kanakwamba wanaenda vitani. Wengine wanatamba kwamba
akikukamata ni mpaka kivimbe ndo akuachie. Kwani lengo ni kuumizana?
Mchezo ule hauhitaji hasira ila upole, utaratibu maalum na hisia kali
zitakazo kuhamisha katika ulimwengu uliopo. Inashangaza kuona mtu
ana-pump kama anazibua chemba iloziba mwaka mzima na kumsababishia kero
na maumivu makali mwenza wake.
Ukifanikiwa kukaa jirani na eneo ambalo zoezi hilo huendelea unaweza
kusikia kelele nyingi utadhani mtu anapigwa mangumi ila ukiuliza
utaambiwa ni wapenzi wanagegedana.
Hebu tujaribu kufanya romantic love na sio vita na utaona matokeo yake, upendo utazidi kuliko awali.
Jungu kuu halikosi ukoko.
Wednesday, October 17, 2018
Mapenzi Sio Vita, Kwanini Tukomoane Kwenye 6X6?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment