Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Friday, October 26, 2018

Muunguzi Ambaka Bibi Kizee wa Miaka 72 Wodini..


Raia wa Kenya Thomas Kamau Nganga ambaye ni nesi huko nchini Marekani, amekutwa na wafanyakazi wenzake akimbaka kikongwe mwenye miaka 72, mwenye matatizo ya kupoteza kumbukumbu hospitalini hapo.
Nesi huyo kwa sasa anashikiliwa na polisi wa nchini humo.

No comments:

Post a Comment