Eeeeeeh bwana kuruka ruka sio kuzuri kabisa, kuna upuuzi mmoja
nimeufanya na sasa unanitokea puani kuna bar moja napenda sana kupiga
maji, sasa Kuna siku nimeenda akawa ameletwa mhudumu mkale hatareeeee,
yupo kama msomali msomali hivi umbo usiseme.
Basi mwanaume nikajikakamua yale ya mupe huyu na huyu bili leta kwangu
mwisho mtoto akajaa kwangu, hapo mamsapu kakumbatia mto home anajua mume
yupo busy kazini anahangaika na mafile kumbe nahangaikia papuchii
nikapita na yule dada bwana, si akapagawa mazima kwangu acha tu.
Leo kaniletea vipimo vya hospitali ana mimba yangu na kazi ameacha pale
anasema anataka alee mimba yangu kwa uhuru. Nimepagawa maana ukisikia
mwanaume kupewa talaka na mke ndio kwangu nipo hapa counter napata
baridi ila kichwa kinawaka moto wife akijua nitaweka wapi sura yangu
tena aibu kuu ni nazaa na "baamedi"ambao mmewahi kupata mkasa kama wangu
mliutatua vipi maana hapa A haikai wala B haisogei
Friday, October 26, 2018
Nimeingia Matatani Muhudumu wa Bar Anamimba Yangu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment