Artikel Terbaru

Responsive Ads Here

Thursday, October 18, 2018

Mwanamke Afariki Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Kuongeza Matiti


Mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la June Wanza wa nchini Kenya, amefariki dunia baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza matiti.

Hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko la wadada wanaofariki kwa kuongeza makalio

Toa maoni yako

No comments:

Post a Comment