Kuna
Rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita
lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana
zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi leo,
Jamaa alikataza hadi mkewe kujihusisha na familia yangu
Kumbe jamaa hana kazi mwaka Wa nne sasa yupo benchi alifukuzwa kazi
Kama
miezi miwili iliyopita nilikutana na mkewe accidentally, tukapeana
contact upya na alikua mjamzito Wa miezi kama mitano hivi kuelekea sita,
Akawa ananipigia simu kuomba hela kila baada ya siku mbili tatu, jambo
ambalo lilinishangaza sana maana kwa maisha yao yalivyokua mazuri haikua
rahisi kuamini
Baada ya kumpa kama laki na hamsini hivi jumla nikaanza kumkwepa, haikusaidia akawa ananipigia kwa namba zingine,
Siku moja akaniomba tuonane
Katika kuonana akanieleza kwa urefu sana matatizo yao ifuatavyo
Moja ni kuwa mumewe hajishugulishi na chochote amekaa tu home tangu afukuzwe kazi miaka minne iliyopita
Pili anategemea wazazi ndo wamtumie hela Mara kwa Mara
Tatu hata ikitokea mtu ameumwa ndani inabidi waombe ombe pesa kwa watu mbali mbali
Nne, anadai hali ni mbaya kuzidi Maelezo
Amekua
akimsisitiza aje anione ili nimsaidie maana nipo hr department na jamaa
anajua hilo lakini mwanamke akimgusia jambo hilo Jamaa ananzisha hadi
ugomvi mkubwa hivyo amemuacha tu
Ukistaajabu
ya musa utayaona ya firauni wiki kama tatu zilizopita aliniomba tuonane
kinondoni machi machi guest house nikashtuka sana, nikamuuliza kulikoni
guest akaniambia ww njoo hapo tukionana bar huwez jua nan atatuona so
tuongee kwa dakika chache then nasepa
Nilipofika
alikua jiran na hapo akaja tukaingia ndani, kwa hali ya ujauzito
alionao niliamin wazi hatuwez kufanya chochote, surprisingly alianza
kunivua nguo kama wale watu Wa wrestling, nilijikuta nimeshindwa
kuhimili mhemko na bahati mbaya tukajuana
Sikujua
kama jamaa ameoa mwanamke mpenda pesa kiasi kile maana pale pale
akaniomba laki moja nikampa elfu hamsini cha ajabu jioni akaanza
kunisumbua hamsini iliyobaki
Nimejiingiza kwenye jambo ambalo limekua mzigo mkubwa kwangu, natoa hela kila siku mbili tatu
Ingawa
akiniomba twende guest nakua mdhaifu nashindwa kukataa, kwa kawaida mke
wangu akiwa mjamzito huwa hapendi tendo kabisa na style yetu huwa ni
moja tu miezi yote ya wote kutazama upande mmoja
Ila huyu shemeji huwezi amini mtu ana mimba ya miezi saba kwenda nane anajibinua anakaa doggie hadi mi naogopa
Nahitaji
kuachana nae lakin amekua all over me, anasema anakaribia kipindi cha
kujifungua hivyo anahitaji msaada wangu, anaona kuwa tukiachana siwezi
kumsaidia kama tulivyo wapenzi
Hivi
sasa ananisumbua ada ya mtoto wao Wa kwanza ambae kafunga shule, na mm
sina hiyo hela kwa kweli maana mm binafsi Nina watoto watatu, mmoja
nilizaa kabla sijaoa ivo namhudumia mm
Hili jambo linanishinda kwenye gharama tu
Kuna mwenye suluhisho hapa nilitatue vipi hili tatizo?
Monday, October 22, 2018
Nimetumbukia Kwenye Majaribu Mazito na Mke wa Rafiki Yangu
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment