Sehemu ya kumi na tano
Ilipoishia "alielekea mpaka kwenye mlango na alipofika aligeuka"
.
Alinitazama
ndani ya dakika kaza huku nilivyoona hivyo nami nilishusha macho yangu
chini kwa hofu kubwa ikichangiwa na aibu kali sana. Nilipoona akizidi
kunitazama nami ilinipasa nielekee jikono kuendelea na shuguri niliokuwa
nimeiacha ya kupika chakula cha siku hiyo
Nilimaliza
kupika na niliandaa meza fasta ili tu atakapotoka kuoga shemeji akute
chakula kiko mezani. Basi nilipanga vizuri meza na kuweka kila kitu
kilichokuwa kikihitajika kwa wakati huo na huku nikiwaza ukope
alionipiga nao shemeji (kunikonyeza).
nilichukulia
kawaida na alipotoka tulikula chakula na kufurahia kwa pamoja na siku
hiyo ilikata kwa kila mmoja kwenda chumbani mwake na kuuchapa usingizi.
asubui
kulipambazuka nami kama kawaida yangu nilijiandaa kuelekea kazini
lakini niliakikisha na muandalia chakula chem wangu na nilipotaka
kuondoka ilinipasa nimkalibishe na kumuekeza "Shemeji za asubui "
"Nzuri "
"Umeamka vipi na uchovu wote wa jana pia safarini "
"Haaaah! niko poa kwani siku ilienda vizuri kwangu na pia nishakuwa mwenyeji shemeji yangu hofu kwako labda "
"Mimi
niko vizuri sana lakini shem nataka kuelekea kazini lakini kuna chai
nimekuandalia mezani lakini sito kawia kurudi nyumbani leo "
Sawa shemeji kazi njema mimi utanikuta nimejaaaa telee nakungoja.
Niliondoka mara moja na nilipofika ofisini kama nilivyoo zoea niliendelea na huduma kwa wateja wangu.
Nilipokuwa
nikiendelea na kazi na simu iliita kuona jina la.mtu aliepiga
nilishituka nikajiuliza "vipi tena nyumbani shemu ananipigia mara hiii
simu Ebuuu! Ngoja nipige nijue kuna nini "
"Halooooh shem wangu "
"Poa vipi kazi zinaendaje huko "
"Haaaaah kazi ziko poa namshukuru mungu ziko poa japo changamoto huwa hazikosi siku zote "
"Oooook!
sawa nikikuwa nakutakia kazi njema Na iwe nzuri hapo kazini kwako "Sawa
shem asante pia vipi lakini kuna kitu kimepungua nyumbani au vipi ."
"Hapana niko poa tu hakuna kitu"
No comments:
Post a Comment