shawahi kukutokea mara moja au nyingine.
Unajaribu kuapproach mwanamke lakini pindi unapomwita ama kutaka
kuchukua atenshen yake ghafla anakupuuza hata kabla hajakwambia jina
lake ama kujientroduce vizuri.
Well, hili ni jambo la kawaida ambalo linatokea mara moja au nyingine
kwa mwanaume yeyote. Lakini kama hii ndio imekuwa tabia yako ya kuwa
kila wakati unapuuzwa na wanawake wakati ambapo unajaribu kuwasimamisha
au kuongea nao basi kuna tatizo.
Ok. Unaweza kuwa unajua mbinu zote za kuapproach mwanamke, michongo yote
umeihifadhi kwa akili lakini bado kuna kitu unashindwa kukitimiza.
[Soma: Jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa ktumia sanaa ya kiza]
Kitu chenyewe ni kuwa wanaume wengi hukifanya bila wao kufahamu ya kuwa ni makosa makubwa kwa mwanamke....
...kudhani ya kuwa mwanamke atasimama na kuwasikiliza kulingana na maneno wanayoyatoa kutoka kwa vinywa vyao.
Ukweli ni kuwa mwanamke hatosimama kulingana na maneno yako unayoyatoa mara ya kwanza.
Bali hutumia fikra na uingiliaji wa mawazo ambayo ameyajenga kulingana na matukio ya zamani aliyoyapitia.
Jambo ambalo unafaa kufahamu kuhusu wanawake ni kuwa wanajenga
uingilianaji wa mawazo ya jinsi ya kuwatizama wanaume kulingana na
mahusiano yao ya zamani na wanaume.[Soma: Saikolojia kumfanya mwanamke akupende daima]
Kulingana na wanawake, mwanaume ambaye anajilazimisha kuongea naye,
mwanaume ambaye hana thamani katika maisha yake--- kv mwanaume ambaye
havutiwi naye-- huwa na tabia moja ambayo wanaonyesha wakati
wanapowaaproach....tabia ya kujipaza juu wakati wa kuongea.
Kwa kupunguza maneno mengi ni kuwa wanaume wenye tabia hii kwa kawaida wanapenda kuongea kwa haraka.
(Wanaume wasiokuwa na thamani kwa mwanamke ni wale wanaopenda kuongea
kwa haraka kwa kuwa wamezoea kukatizwa katikati wakati wanapoongea ama
kupuuzwa na wenzao wanapoongea) [Soma: Hatua za kufanya ili umfanye mwanamke aingiwe na wivu kwa manufaa yako]
So wewe una hii tabia? Je wewe unajiingiza katika kategoria ambayo wanaonekana kutokuwa na thamani mbele ya wanawake?
Na kama hauna tabia hii mbona unashindwa kuwasimamisha wanawake pindi unapowaaproach?
Well. Uzuri ni kuwa nimekuja na mwongozo na mwongozo wenyewe ni wa
haraka ambao nimekuwa nikiusistiza katika machapisho yetu ya awali.
1. Tumia mistari yako pindi unapochukua atenshen yake ya macho
Hii ni rahisi. Pindi ambapo utaiteka atenshen yake kwa kutumia macho
anza kutumia mistari yako na michomgo yako bila kusita sita. Huku
kutampa sababu kuu ya kwa nini anafaa kuongea na wewe. [Soma: Kuteka atenshen ya mwanamke kwa kutumia macho]
2. Chukua muda wako wote kuongea na yeye kwa kujivuta
Pindi ambapo utakuwa umeiteka atenshen yake ya macho usiwe na pupa ya
kuongea haraka haraka kwani atakupuuza. Chukua muda wako wote wa
kuyavuta maneno yako ili kuonyesha ya kuwa huna tamaa.
Mwanzo kuongea kwa mvuto ni moja ya silaha kuu ambayo kila mwanaume
anafaa kuwa nayo. Cheki video ikionyesha jinsi ya kutumia mbinu hii hapa.
Upo!? Hizi ni mbinu ambazo ukizitumia vizuri hutakuwa na wasiwasi wa kuwa mwanamke hatosimama wakati ambapo unawaaproach.
Tuesday, May 1, 2018
Kwa Nini Wanawake Wanakataa Kusimama Ukianza Approach Kwao?
About Anonymous
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment