Je una ndoto ya kutaka kuwa na nguvu ambazo zitaweza kuwafanya wanawake
wakuandame na kukupigania kila wakati? Ijapokuwa hii inaweza kuwa ndoto
kwa wanaume wengi kule nje, wanaume wengi wanadhania kuwa jambo kama
hili haliwezekani katika maisha ya kawaida kama hauna umbo la kuvutia ama pesa za kuwahonga wanawake. Huu hauna ukweli wowote.
Kupata wanawake wakuandame mara kwa mara ni ndoto ya kila mwanaume. Na ni haki yako ya kujua kutimiza jambo hili.
Ukiwa unajua mbinu za hakika za kutumia wakati unapotongoza, unaweza
kumfanya mwanamke wa ndotoni mwako afanye chochote unachotaka wewe kwa
kumuagiza kwa upole – aminia hili. Kama team ya Nesi Mapenzi,
tumekuandalia hili chapisho kuelieza mbinu hii ili uzingatie yale muhimu
ya kutimiza.
#1 Jenga taharuki
Kama unamtaka mwanamke afuate sheria zako, unahitajika kujenga
utangulizi. Wanawake wanapenda drama na taharuki, hivyo basi endelea
kuwapatia hayo, watakuwa kila wakati wakikuandama kutaka zaidi. Mwanzo
kadri unapoendeleza taharuki na vituko katika maisha yako, ndivyo
watataka zaidi kujihusisha katika maisha yako. Ushawahi kujiuliza ni kwa
nini kuna baadhi ya wanawake huwa wanapenda kujihusisha na mwanaume
mmoja ambaye ana wanawake wengi? Huwa kwa kawaida mwanaume kama huyu
huwa amewaunganisha wanawake hawa kwa kuwakeep busy na vioja na drama za
mara kwa mara.
#2 Cheza mchezo wa kutoelewa
Kitu kingine cha kufanya kuhakikisha kuwa wanawake hawatakutoka katika
akili zao ni kwa kuwafanya wanawake wasijihisi huru/comfortable wakiwa
na wewe. Kama mwanamke atahisi kuwa hahitaji kutumia bidii zake ili
kupata atenshen kutoka kwako, basi atapoteza interest na wewe baada ya
muda mfupi. Kwa jambo hili utakuwa na uhakika mkuu ya kuwa utapoteza
interest ya mwanamke haraka sana, kama atagundua kuwa unasomeka
kirahisi. Kwa kukabiliana na hili tatizo, hakikisha kuwa unampatia
mwanamke wakati mgumu wa kukuelewa. Hii unaweza kuitimiza kwa
kumchanganya, kumtia wasiwasi, mchezee akili nk ilimradi tu asipate
kukuelewa ajenda au mambo yako kiurahisi. Kumchezea mchezo wa
kutoeleweka kutakufanya uicontrol akili yake vile unavyotaka wewe.
#3 Cheza drama
Kama tulivyotangulia kusema awali kuwa lazima uwe na drama katika maisha
yako. Wanawake hupenda drama katika maisha yao. Ushawahi kujiuliza kwa
nini wanawake wanapenda kuangalia tamthilia au soaps za Mexico? Ni kwa
sababu wanapenda na kutamani maisha yao yawe na drama za mara kwa mara.
Bila drama katika mahusiano yako na mwanamke utamfanya aboeke na
kupoteza interest katika mahusiano yenu. Hivyo basi kama utajenga drama
ambayo mpenzi wako amekuwa akitamani umfanyie, basi atapendezwa na wewe
na itakuwa vigumu kwake kuingiwa na akili za kuwa amechoshwa katika
uhusiano wenu.
#4 Tumia mbinu za kisaikolojia
Mbinu za kisaikolojia huwa hufanya kazi kubwa sana ikija katika swala la
kumtongozo na kumzuzua mwanamke. Mbinu hizi humrahishia kazi mwanaume
pakubwa sana wakati anaaproach ama kumtongoza mwanamke. Haijalishi kama
ndio unaanza kutongoza ama wewe ni bingwa, mbinu hizi za kisaikolojia
hufanya kazi nyakati zote. Mwanzo kuna mbinu nyingine za kisaikolojia
ambazo unaweza kujua kile ambacho mwanamke anafikiria akilini mwake na
jinsi ya kukabiliana na vile anavyofikiria ili utumie kwa manufaa yako
wewe mwenyewe.
#5 Ivumbue formula ambayo inawekwa siri ikija katika kutongoza
Ukweli usemwe. Kuingia katika akili ya mwanamke na kuijeuza fikra yake
ya kumfanya akuone kuwa wewe unavutia ni kazi rahisi ya kufanya. Kile
ambacho unahitajika kufanya ni kutafuta ile formula ambayo itafanya kazi
kwako na kukupatia nguvu za kuweza kumpata yule mwanamke ambaye amekuwa
akizunguka katika akili yako kwa muda huo wote. Ukishaipata hio formula
yako, unaweza kuwajeuza wanawake vile unavyotaka wewe, bila kuangalia
ushupavu wako katika dunia ya kudeti wanawake. Kufanya kuwa huwatambui
huwa inafanya kazi kila wakati! Morrissey katika mtandao wa Hubpages
alisema kuwa “Kadri unavyozidi kunipuuza ndivyo ninavyozidi kujisogeza
karibu yako.” Hii ni kweli katika maisha ya mwanamke. Mwanamke
unapomuonyesha kuwa umepoteza interest na yeye atafanya juu chini
kuhakikisha kuwa atarudisha interest...
No comments:
Post a Comment