Habari Mahusiano Live; Naomba ushauri kwa wasomaji wa jarida hili, tafadhali ficha jina langu.
Mimi
nimwanamke wa miaka 27 nimeolewa miaka mitatu iliyopita. Katika kipindi
cha miaka miwili ya ndoa yetu tulikuwa bado hatujajaaliwa kupata mtoto,
tulienda hospitalini na wote hatukua na matatizo ni Mungu tu alikua
hajapanga. Mimi nafanya kazi katika shirika moja la kimataifa na mume
wangu ni mfanyakazi wa Benki moja kubwa hivi na ana cheo kikubwa tu
huko.
Mwaka huu katikati nilikuwa na
sagfari ya kikazi Kenya ambapo kulikuwa kama na kongamano flani la
vijana na tulikutana na vijana wengi wengi wakiafrika kutoka nachi
mbalimbali tulikaa huko kama wiki mbili hivi. Tatizo nikuwa wakati
nikiwa huko kuna kijana mmoja kutoka Ghana ambaye tulijikuta tunakuwa
marafiki ghafla na kufanya mambo yetu mengi pamoja.
Kusema kweli alikuwa anani treat
vizuri kiasi kwamba nikajikuta navutiwa tu kuwa naye, si kimapenzi bali
kama rafiki. Sasa wakati tunakaribia kumaliza kongamano tukawa tumefanya
kasherehe kaodogo hivyo ingawa si mnywaji sana lakini siku hiyo
nilikunywa. Kama unavyojua pombe ukisema unaonja haishii hapo unajikuta
unakunywa mazima.
Nilikuwa na yule kijjana na yeye
alikunywa , ingawa mwanzoni alikua akiniheshimu kwani nilimuambia
nimeolewa lakini siku ile alianza kunishikashika kifuani na sehemu
nyingine, nilijikuta napata hamasa na kushindwa kujizuia na tuliporudi
hotelini baada ya sherehe sikurudi tena chumbani kwangu, alinipeleka
chumbani kwake na tulifanya mapenzi mpaka asubuhi.
Sisemi kwamba ni pombe ilisababisha
kwa asilimia 100 lakini imechangia, kwani hakunibaka na nilikubaliana na
kila kitu. Kwa mapenzi aliyonionyesha hata saubuhi sikushtuka tulifanya
tena ndiyo nikarudi chumbani kwangu kwani nilishakata tiketi ya ndege
kurudi Bongo. Wakati huo sikuumiza kichwa kwani nilijua kuwa ilikuwa ni
siku moja tu na mtu mwenyewe wambali hivyo sikujisikia vibaya sana.
Kinachoniumiza sasa nikwamba, wiki
mbili baada ya kutoka kule nilianza kujisikia vibaya, nilipitisha siku
zangu na nilipoenda kupimwa nilikuta nina ujauzito. Mume wangu amefurahi
sana mimi kuwa mjamzito kwani ni kitu mabacho alikuwa anakiomba siku
zote lakini kila nikipiga mahesabu na nikifikiria vizuri najua kabisa
hii mimba si ya mume wangu.
Kwanza kabisa wakati nikiwa kule ile
siku tuliyofanya ndiyo ilikuwa siku yangu ya hatari, pili niliporudi
kwenye safari nilijifanya kuchoka sana hivyo hatukufanya na mume wangu
na alisafiri kama siku tano hivi. Ingawa ni siku chache na naweza
kumfanya kuamini kua mimba ni yake lakini bado roho inaniuma, najiona
msaliti na nashindwa nifanyeje. Naomba ushauri nimuambie ukweli mume
wangu au nivumilie nimuache alee mtoto ambaye si wake?

imi

No comments:
Post a Comment