Kwa Wewe Unayekaribia Kuvunjika Moyo Na Unayeona Kuwa Hii Dunia Haipo
Sawa Kwa Upande Wako, Usiendelee Kunung'unika Wala Kulaumu, Muombe
Mungu Akuongoze Kwenye Njia Iliyo Njema Na Isiyo Na Mashimo, Kulalamika
Hakutakusaidia Kama Ukiwa Umekaa Tu Na Kulia Bila Kunyanyuka Na Kuanza
Maisha Mapya Yenye Matumaini.
Hakuna Yeyote Hapa Duniani Atakayekuja Na Kukuonyesha Njia Bila Wewe
Kumuonyesha Kuwa Una Nia Ya Kufahamu Wapi Ilipo Njia, Ukiona Umezingirwa
Na Shida Na Tabu Usiogope Wala Kukata Tamaa, Sali Sana Na Mpe Mungu
Maisha Yako Akuongoze.
Ubarikiwe Sana.
No comments:
Post a Comment