Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata
shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia Sababu ni kawaida yako, Hii
tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyo
Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu
kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba siku hizi hawapo barabarani tu
hata Kwenye simu zetu hasa kupitia Whats app wanasumua kinoma...
Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela
mtu anashangaa anajua kweli umebanwa sababu sio kawaida yako.
No comments:
Post a Comment