Unaweza kukuta unakomaa kuangalia utofauti wa miaka yenu wewe na mpenzi wako na ukasahau kwamba kuna kitu kinaitwa mental age
“ukuaji au upevukaji wa akili yake”. Mpenzi wako anaweza kuwa na miaka
ya kuzaliwa mingi tu, na ukadhani kashapevuka na kuwa tayari kwa ndoa,
mara mnapoanza mahusiano unakuja kugundua kwamba bado akili zake
hazikustahili hata kumaliza sekondari, mawazo yake, maneno yake,
marafiki anaokuwa nao, maamuzi yake na hata mitazamo yake bado ni ya
kitoto. Katika hali hii unajikuta sasa wewe ndio muamuzi wa kila kitu
wakati ulitegemea msaidiane kwenye mambo ya muhimu ya mahusiano yenu.
Usiegemee sana kwenye miaka yake ya kuzaliwa “chronological age” ukasahau kuchunguza upevukaji wa akili yake “maturity” au “mental age”usije
kujikuta unaoana na mdogo wako wa mbali sana bila wewe kujua halafu
ikawa badala ya kusaidiana wewe ndio unamsaidia kwenye kila maamuzi –
Chris Mauki
Wednesday, May 17, 2017
Home
/
Unlabelled
/
WAKATI UNAANGALIA MIAKA YAKE USISAHAU KUANGALIA UKUAJI WAKE WA AKILI (MENTAL AGE VS CHRONOLOGICAL AGE YA MPENZI)
WAKATI UNAANGALIA MIAKA YAKE USISAHAU KUANGALIA UKUAJI WAKE WA AKILI (MENTAL AGE VS CHRONOLOGICAL AGE YA MPENZI)
About Unknown
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment