Leo nashare nanyi hii mada kutoka kwa
Lizz David, anakueleza ni mambo gani muhimu ambayo yatafanya mapenzi
kati ya wewe na mwenza wako kudumu.
Siku hizi , inaweza kuwa inaonekana kama
vile kila ndoa ina furaha sehemu zote unapoona au kuangalia :
instagram,Facebook, twitter, au Snapchat, hata ukiangalia mtaani jinsi
wanavyotembea.
Lakini kama kuna kitu kimoja kwenye
mitandao ya kijamii kosa linaloniambia mimi ni kwamba, hicho sio kila
kinachoonekana ya kuwa ndivyo kilivyo.
Hakuna kipande cha muujiza au cha
kubahatisha tiketi na kupata pesa katika hii ni ngumu kupata furaha
kamwe baada ya hapo” mahusiano. ndoa imara imejengwa na watu wawili
ambao wamekubaliana kuiweka katilka kazi, afya, mahusiano yakudumu
hayajengwi kwa siku moja. Unatakiwa kuanza na msingi imara pekee, halafu
kujengwa ukuta kwa pamoja kuanzia hapo.
Na hapa kuna tabia 14 za wanandoa wenye furaha ya kweli.
1.Kujitegemea.
Ni muhimu kuwa na muda wenye thamani kwa
pamoja na kuwa na mahusiano yenye nguvu , lakini ndoa yenye afya
huelewa kuwa hawawezi kutegemeana kila mmoja kujaza kila ndoo. watu wa
ndoa hii wana shauku na wanakua mmoja mmoja.
2.Mawasiliano.
Wanawake na wanaume huwasiliana
kitofauti, ubongo na mawazo yetu ni tofauti kabisa, na tuna uwezo
tofauti wa kuelewa mambo, taarifa. Tabia moja ambayo ni nzuri kwa
wanandoa ambayo inajulikana , ni ile ambayo inweza kuwafanya wawasiliane
na kuelewana bila ya kufikiria kitu kibaya. kuelewa na kuwajibika
iwezavyo.
3.Support.
Couple hii huaminiana kila mmoja.ndoa
yenye afya huelewa kwamba ili waweze kusaidika kila mmoja , ni lazima
watoe msaada. wanaelewa thamani katika uchaguzi waliofanya kuwa katika
mahusiano, na wana maanisha kusaidiana kila siku.
4.Heshima.
Watu wenye mahusiano mazuri, huelewa
kuwa hawawezi kuwa wanakubalika na wenzi wao na hio wanaona ni sawa.
wanandoa hawa , huhamasishana, huchochea, huinuana kila mmoja, na
huheshimiana kila mmoja.
5.Fikra.
Maanani, Kila mtu ana hisia, na hata
hivyo zinaweza zisiwe sawa, wote wana haki ya kusikia. ndoa nzuri
hutafuta kuelewa na kujifunza undani na ya nje ya kila mtu. wanapokuwa
hawashiriki mahitaji, wanatambua na kukubaliana tofauti zao.
6.Matumaini.
Wanandoa hawa huona glass ilio nusu kuwa
imejaa. wanaamini katika maneno kuwa lipo jema litakuja, na hufanya
juhudi kila siku na kuwa sehemu ya hilo. Ndoa nzuri hushikilia kwamba
wana nguvu ya kudhibiti hali yoyote , hawaachi hali mbaya iwatawale wao.
7.Passion: Hamu.
Ndoa nzuri hung’arisha hamu. wana hamu
ya kuhusu maisha, mapenzi, na furaha ya kweli. wanandoa hawa hukubaliana
thamani ya kila muda na hujali sanaa iliopo. wanaona umuhimu wa kuwepo
pale.
8.Urafiki.
Watu walio na mahusiano ya furaha ,
hufurahiana pamoja kirafiki , haijalishi kuna tatizo gani , hali gani
mbaya. wanaweza kutoka kwenda kuangalia movie, kwenda kufurahi na
marafiki, kuangalia mpira , kwenda kwenda sherehe, au matukio yeyote
wanapopenda.
9.Uaminifu.
Uaminifu umechumwa, hawakupewa, na ndoa
yenye afya huelewa kwamba ili wawe na msingi imara ni lazima kuwepo na
uaminifu. Wanaamini kuchagua kuwepo katika mahusiano ina maana umechagua
kuaminiana kila mmoja. Mpaka hapo mmoja atakapovunja uaminifu, na pale
hapatakuwepo na sababu ya kupoteza muda .
10. Ushirikiano.
Mahusiano ni kati ya watu wawili kuwa
pamoja na kuunda team ambayo itaongeza thamani katika maisha ya kila
mmoja. Ndoa yenye afya huaminiana katka nguvu zao na hujisifia wao kwa
wao katika madhaifu yao. husaidiana na kuweka nguvu kazi ya nyumbani.
11.Ukweli.
Wanandoa hawa huelewa umuhimu wa kuwa na
mahusiano mazuri na watu wengine katika maisha yao vile vile.: familia,
marafiki, wafanyakazi wenzao, n.k. Hata hivyo mwisho wa siku mara zote
hujiwekea kipaumbele chao. hawana maswali ya kujiuliza uongo wao uko
wapi, na wengine huwaheshimu kwa hilo.
12.Maelewano.
Watu walioko ndani ya ndoa ya furaha
hujifunza jinsi ya kufikia katikati ya kitu wanachofikiri wanapenda
kukifanya, hivyo tu kwa sababu kinawafanya wawe na furaha ya kirafiki.
13.Shukrani.
Ndoa yenye afya huwa ni Halisi,
kweli,kukubalika kwa kila mmoja wao. sio tu kwa sababu wako katika
mahusiano lakini ni kwa kila kitu kinachowafanya wao kuwa juu. huchukua
muda wa kusema ”Asante” na kukumbushana kuwa wanashukuru kwa kuwa na
wengine katika maisha yao.
14.Bahati Nzuri.
Nafsi zote katika mahusiano yenye nguvu,
huamka asubuhi na kuchagua bahati nzuri, na kila mtu hupata
uthibitisho, ustahilivu, na usalama kati yao wenyewe. wanaona urafiki
wao na uwenza wao kama vile ni ongezeko kubwa katika bahati yao nzuri
lakini sio chanzo pekee katika hilo.
No comments:
Post a Comment