WAKUBWA TU WATAELEWA…..
FASIHI HII…..
Wanawake mmejaaliwa kuwa na LAPTOP zinazopendeza saanaa na laptop zenu
zina port kwa ajili ya kuingizia EXTERNAL data msiruhusu kila FRASH DISK
kuingia kwenye PORT zenu,Flash zingine zina VIRUS maana hamjui zimetoka
wapi kwenye ma internet cafe TUNZENI laptop zenu mpaka mtakapo miliki
FRASH DISK zenu ambazo mtakuwa mnauhakika kwamba hazina virus, na kama
ushamiliki itunze vizuri usii na iwe kwa matumizi yako tuu vinginevyo.
WANAUME tunzeni FRASH DISK zenu kuna laptop kwa nje zinaonekana ni NZURI
kweli na zinavutia lakini hazijafanyiwa window updates kwa muda mrefu
na hazina ANTVIRUS sio kila laptop unachomeka tu utajikuta umepoteza
mafaili yako yathamani yatakapo liwa na VIRUS
NAJUA flash zinapenda sana kuingia kwenye kila laptop lakini ni vema mkazicontrol mpaka pale mtakapomiliki laptop zenu binafsi na kama ushamiliki yako basi hakikisha unailinda sana.
NAJUA flash zinapenda sana kuingia kwenye kila laptop lakini ni vema mkazicontrol mpaka pale mtakapomiliki laptop zenu binafsi na kama ushamiliki yako basi hakikisha unailinda sana.
Ni kweli zimetengenezwa kutumika na flash inaenea kila port lakini pia laptop inafit kila flash….je, unauhakika ziko salama!!
subiri umiliki yako na kabla hujaitumia kaiscan kuthibitisha usalama wa laptop au flash yako. tanx……
subiri umiliki yako na kabla hujaitumia kaiscan kuthibitisha usalama wa laptop au flash yako. tanx……
No comments:
Post a Comment