Kuna siku nilijifanya Mjuaji nikadukua mawasiliano ya mchepuko wangu
niliyokutana nayo huko sasa ni hatari tupu, sms ya kwanza kuingia jamaa
anampongeza kwa shughuli yao ya jana kuja huku whatsaap shughuli nzito
nikajikuta naumwa ghafla pressure inanipanda mara nikaona dunia
inazunguka mara nataka kuaga dunia ikabidi majirani zangu wafanye
mawasiliano na mchepuko wangu maana walikuwa wanaufahamu ile unakuja
home. baby jamani unaumwa nn? aiseeeh nikiuangalia homa inanizidia
nikifikiria kuucha
siwezi.............kilichoendelea.....................ila mpaka sasa
nadunda nao course niliona bora tu nijikaze
Vijana Tuache tabia ya kudukua mawasiliano ya tunaowapenda wakati jeuri
za kuwaacha hatunazo, huo ni ushauri tu kama jasiri endelea kupanga
mikakati ya kudukua mawasiliano ya mke au mchumba ako soon tu itabaki
story
No comments:
Post a Comment